Exodus 4:11-12

11 a Bwana akamwambia, “Ni nani aliyempa mwanadamu kinywa? Ni nani aliyemfanya mtu kuwa kiziwi au bubu? Ni nani anayempa mtu kuona au upofu? Je, si mimi, Bwana? 12 bSasa nenda, nitakusaidia kusema, nami nitakufundisha jambo la kusema.”

Copyright information for SwhKC